Wednesday, April 29, 2015

hali imekuwa nzuri kwa kocha wa chelsea Jose mourinho baada ya jana kuwashinda wapinzani wao kwa mabao matatu kwa moja 3 - 1

magazetini leo

Daily MonitorMwananchiThe Citizen

Monday, April 27, 2015

BIN ZUBEIRY: PLUIJM AFIKISHA MECHI 45 YANGA SC LEO. AMEFUNGWA S...

BIN ZUBEIRY: PLUIJM AFIKISHA MECHI 45 YANGA SC LEO. AMEFUNGWA S...: Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KOCHA Mholanzi, Hans van der Pluijm leo ataiongoza Yanga SC katika mechi ya 45 tangu aanze kuifundisha mwak...

Saturday, April 25, 2015

Volcano yalipuka Chile

Majivu kutoka kwa volcano yanaonekana angani kutoka eneo la Calbuco nchini Chile.
Majivu kutoka kwa volcano yanaonekana angani kutoka eneo 
la Calbuco nchini Chile.

Mlipuko wa volcano kwenye mlima wa Calbuco kusini mwa Chile umetokea mara mbili katika kipindi cha saa 24 na kuacha eneo hilo katika hali ya taharuki. Volcano hiyo ililipuka kwa mara ya kwanza Jumatano baada ya kipindi cha zaidi ya miongo minne na kutupa majivu ya urefu wa  kilomita 10 angani.
Mamlaka ya Chile yaliyoshtushwa na tukio hilo yalianza kuwaondoa maelfu ya watu kutoka eneo hilo na kutoa ilani kwa miji ya Puerto Montt na Puerto Varas, ambayo ni maarufu kwa utalii. Mlipuko mwingine ulishuhudiwa mapema Alhamisi.
Hakuna majeruhi yaliyoripotiwa. Mamlaka yameondoa zaidi ya watu 4000 huku gesi na majivu zikiendelea kutoka kwenye volcano hiyo. Idara ya kitaifa ya masuala ya jiolojia  na Madini nchini Chile imeonya huenda mlipuko wa tatu ukatokea

Thursday, April 16, 2015


Maji yanayoweza kukinga risasi yatengezwa

11 Aprili 2015
Wanasayansi nchini Poland wametengeza maji ambayo yakipakwa katika vazi linaloweza kukinga risasi ,yanaweza kuzuia risasi mbali na dharubu inayosababishwa na kasi yake kutosababisha madhara ndani ya mwili wa binaadamu.Maji hayo hufanya kazi kwa kuwa magumu wakati risasi inapopiga na kufyonza risasi hiyo pamoja na dharubu itakayosababishwa na kuisambaza katika kila eneo la vazi hilo.
 
SO FUN