YOUR CHOISE


1 comment:

  1. Je? wajua, ni kitu gani ambacho mtu akiwa nacho uhisi kakamilika. hiki si kingine bali ni ndoa. iInapendeza sana endapo mtu kwa kuniamini akisimama mbele ya haraiki ya watu na kujitambulisha kwa kutaja majina ya waume au wake zao mfano "Naitwa mrs rwehumbiza au naitwa mr Mutashobya baba wa watoto wawili" hii huwafanya watu wengi kujisikia vizuri tofauti na pale wangetaja majina yao bila kuwepo arama au utambulisho unaoonyesha kwamba huyu mtu tayari yuko kwenye ndoa au ana familia
    Huo ni mtazamo wangu wewe unasemaje?

    ReplyDelete