BANENWA BLOG

Pages

  • Home
  • AGRICULTURE
  • ELIMU
  • YOUR CHOISE
  • INTERVIEWS
  • AFYA
  • MAKALA
  • HABARI/NEWS
  • MICHEZO
  • GOSPAL
  • UTAMADUNI NA SANAA

Sunday, September 6, 2015


WELBECK NJE MPAKA DISEMBA

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Danny Welbeck atakuwa nje ya Uwanja mpaka mwezi Disemba baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye Goti .

Arsenal imeeleza kuwa matibabu kwenye Goti hilo hayakwenda vizuri na Wiki iliyopita ikaamuliwa afanyiwe operesheni.

Welbeck, aliumia Goti lake mwezi Aprili huku akiwa kaifungi timu yake ya Arsenal mabao 8 katika Mechi zake 34 tangu ahamie hapo kutoka Man United.
Hili ni pigo kubwa kwa Arsenal ambayo haikusajili mshambuliaji . Dirisha la usajili la kiangazi lilifungwa jumanne iliyopita.
Mfaransa Oliver Giroud anabaki kuwa mshambuliaji pekee wa kutumainiwa katika kikosi hicho.


Posted by banenwa at 10:53 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

CALL:0674377719

CALL:0674377719

Wikipedia

Search results

Blog Archive

  • ►  2016 (22)
    • ►  December (1)
    • ►  November (14)
    • ►  March (2)
    • ►  January (5)
  • ▼  2015 (33)
    • ►  October (2)
    • ▼  September (12)
      • Kafando arejea rasmi madarakani Burkina Faso Ra...
      • WAZIRI CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA, ALIKUWA NC...
      • Msiba baada ya mamia kuuwawa Mina Zaidi ya mahu...
      • Chelsea vs Maccabi Tel Aviv 4 0 (Goals & Highli...
      • Mahubiri ya Mwalimu christopher Mwakasege Marekani...
      • Rosetta Stone Learner Stories: Meet Grace (French)
      • Hayati Mwalim Nyerere akimzungumzia kukataliwa kwa...
      • Makongoro Nyerere alipozungumza leo Jangwani Dar
      • RAIS WANGU KIKWETE UONGOZI WETU KAMA KISHADA TUTO...
      • WELBECK NJE MPAKA DISEMBA
      • Ninja Squad (entera y en espaƱol)
    • ►  August (3)
    • ►  July (2)
    • ►  May (3)
    • ►  April (7)
    • ►  March (4)

Social Icons

MAJI YANAYOWEZA KUZUIA RISASI

ADELINUS BANENWA

ADELINUS BANENWA
ALWAYS CAMERA TALKS

BPFYA HAPA KUPATA NYIMBO KALI KILA SIKU

BPFYA HAPA KUPATA NYIMBO KALI KILA SIKU

Contact Form

Name

Email *

Message *

My Blog List

  • SYLVESTER NA MATUKIO
    silva studio session -
    9 years ago

Total Pageviews

Popular Posts

  • Mahubiri ya Mwalimu christopher Mwakasege Marekani Washington DC-MD
  • INAMOTO | SELF EMPLOYMENT: MAMBO MUHIMU YANAYO HITAJIKA KATIKA KUANDIKA PENDE...
    INAMOTO | SELF EMPLOYMENT: MAMBO MUHIMU YANAYO HITAJIKA KATIKA KUANDIKA PENDE... :  
  • BIN ZUBEIRY: PLUIJM AFIKISHA MECHI 45 YANGA SC LEO. AMEFUNGWA S...
    BIN ZUBEIRY: PLUIJM AFIKISHA MECHI 45 YANGA SC LEO. AMEFUNGWA S... : Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KOCHA Mholanzi, Hans van der Pluijm leo...
  • (no title)
    Anayemkataa Magufuli anawakumbatia mafisadi Na Adelinus Banenwa  “Siku za mwizi ni arobaini” haya ni maneno ya wahenga ambayo h...
  • VTS 01 1 Namna ya kujinasua kutoka madhara ya viti vya enzi
  • THE VOICE _ Accapela Group
  • THE VOICE _ Accapela Group
  • (no title)
    Bonyeza 'Enter' kuendelea au kurejea mwanzoni Maji yanayoweza kukinga risasi yatengezwa 11 Aprili 2015 Wanasayansi n...
  • (no title)
     BREAKING NEWS Kiongozi mstaafu waserikali mwingine Afariki dunia Huyu ni JOSEPH MUNGAI ambaye kwa taarifa za awali amepoteza maisha le...
  • (no title)
    Mbunge wa kilwa kusini SULEIMAN BUNGARA   (Bwege)

Followers

About Me

banenwa
View my complete profile

Featured Posts

Sample Text

Picture Window theme. Powered by Blogger.