Msiba nyumbani kwa Filikunjombe, Mbagala Kijichi-Dar
Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule
Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya
wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni
Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi
Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.
No comments:
Post a Comment